1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shinikizo la damu: Tatizo linaloathiri kimyakimya

7 Juni 2021

Shinikizo la damu limekuwa chanzo kikubwa cha magonjwa mengi yanayosababisha vifo vya ghafla, lakini wengi hawajui kama wanakabiliwa na tatizo hilo. Fahamu mengi zaidi katika #Kurunziafya

https://p.dw.com/p/3uXX3