1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria ya uchaguzi Tanzania ina kasoro?

6 Aprili 2022

Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania, Nassoro Kitunda akiwa Arusha Tanzania ambapo amemuuliza, je, kuna kasoro gani katika sheria ya vyama vya siasa na sheria ya uchaguzi nchini Tanzania?

https://p.dw.com/p/49YWz