1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria mpya ya Tehama yazua hofu Uganda

Lubega Emmanuel14 Oktoba 2022

Jumuiya ya wanahabari nchini Uganda imeingiwa na mashaka makubwa baada ya rais Yoweri Museveni kusaini kuwa sheria muswada tete wa matumizi mabaya ya Tehama. Ukikiuka sheria hiyo utakabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 gerezani au faini ya kama dola elfu nne hivi. Lubega Emmanuel alituarifu.

https://p.dw.com/p/4ICEp