1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sherehe za mwishoni mwa mwaka

Veronica Natalis
27 Desemba 2022

Katika msimu huu wa sikukuu, watu wanaelezea jinsi walivyosherehekea sikukuu ya Krismasi na walivyojiandaa kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2023. Lakini pia wanaelezea kama wamepokea au kutoa zawadi kwa wapendwa wao.

https://p.dw.com/p/4LSLT