1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shamrashamra za msimu wa likizo Berlin

7 Desemba 2023

Shamrashamra na matayarisho kuelekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya zinaendelea nchini Ujerumani. Licha ya kibaridi kikali, Wajerumani wanaonekana kumiminika barabarani na kwenye maduka kwa ajili ya kununua zawadi za Krismasi. Kurunzi Ujerumani leo inauangazia mji mkuu wa Berlin na jinsi ulivyopambwa kuelekea Krismasi.

https://p.dw.com/p/4ZtTl