1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Shaka Zulu: Baba wa taifa la Zulu

Yusra Buwayhid
11 Februari 2020

Historia ya taifa la Zulu pamoja na Afrika Kusini kwa jumla haiwezi kukamilika bila ya kumtaja Shaka Zulu. Hakuna maafikiano iwapo Mfalme Shaka alikuwa kiongozi mwenye busara wa taifa la Zulu au mtawala aliyetumia mauaji kulazimisha utiifu. Hatahivyo, wafuasi wake na mahasimu wake wote wanakubali kwamba ufalme wake umewacha historia iliyodumu kwa zaidi ya karne mbili.

https://p.dw.com/p/3XaPC