1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Seun Kuti - Muziki unapokutana na siasa

Yusra Buwayhid
26 Septemba 2018

Mwanamuziki Seun Kuti haogopi kujadili mada zenye utata. DW imekutana nae katika maonyesho Ujerumani kuzungumzia masuala ya kisiasa na jinsi anavyofuata nyayo za baba yake.

https://p.dw.com/p/35Xfu