1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania yakiri kuwepo uhaba wa mafuta

Deokaji Makomba8 Septemba 2023

Serikali ya Tanzania imekiri kuwepo na uhaba wa mafuta nchini humo huku wananchi katika baadhi ya maeneo wakilalamika kukosekana kwa nishati hiyo muhimu katika shughuli mbalimbali. Kwa muda wa siku kadhaa sasa watu wengi wameshuhudiwa wakipanga foleni katika maeneo mbalimbali nchini humo wakisaka nishati hiyo iliyoadimika huku bei yake ikipanda pia.

https://p.dw.com/p/4W88G