1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania yajiunga na mtandao wa ClubHouse

George Njogopa(HON)24 Februari 2023

Serikali ya Tanzania imesema sasa imeanzisha kile kinachojulikana kama jukwaa la mtandao wa kijamii wa Clubhouse ambalo hutumika kwa ajili ya kuendesha mijadala mbalimbali kwa njia ya sauti kupitia mitandao ya kijamii. Hii ni mara ya kwanza kwa serikali nchini humu kuingia katika jukwaa la namna hiyo ambalo wakati mwingine mijadala yake huwa moto.

https://p.dw.com/p/4Nvgo