1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Kenya yapendekeza kodi mpya

Jacob Bomani5 Juni 2023

Wanaharakati nchini Kenya wametishia kufanya maandamano kupinga muswada wa fedha wenye mapendekezo mapya ya kodi yaliyotolewa na serikali. Miongoni mwa mambo yanayopingwa ni mchango wa asilimia tatu katika mfuko wa ujenzi wa nyumba na nyongeza ya kodi katika mafuta na bidhaa za msingi. Okiya Omtatah Seneta wa Busia anafafanua zaidi.

https://p.dw.com/p/4SDad