1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaongeza bajeti ya ununuzi wa magari ya viongozi

Thelma Mwadzaya21 Machi 2023

Serikali ya Kenya imeongeza mara nane bajeti ya ununuzi wa magari mapya kwa ajili ya viongozi watatu wa juu nchini humo, kufuatia mabadiliko katika mpango wa matumizi yanayomnufaisha pia rais mstaafu Uhuru Kenyatta, mnamo wakati Wakenya wanakabiliana na gharama za maisha zinazozidi kupanda, na kusababisha maandamano.

https://p.dw.com/p/4P1ZF