1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seneta wa Kenya afafanua sababu za kukatika ovyo kwa umeme

John Juma11 Desemba 2023

Nchini Kenya umeme ulipotea takriban nchini mwote usiku wa kuamkia 11.12.2023, hiyo ikiwa ni mara ya tatu ndani ya miezi mitatu. Hadi uwanja wa kimataifa wa ndege Jomo Kenyatta uliathiriwa.Nni hali ambayo imewatia wananchi wengi wa taifa hilo wasiwasi pamoja na wageni wanaosafiri kupitia uwanja wa JKIA. John Juma amezungumza na seneta wa Nandi, Wakili Samson Cherargei na kuuliza tatizo liko wapi?

https://p.dw.com/p/4a17v