1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Senegal na Morocco kuibeba Afrika Qatar

Josephat Charo
3 Desemba 2022

Timu mbili tu kati ya tano za Afrika, Senegal na Moroko, zimefanikiwa kusonga mbele katika duru ya mtoano ya mashindano ya kombe la dunia la kandanda Qatar 2022. Licha ya Cameroon kuilaza Brazil bao moja kwa bila Jumamosi usiku, haikufanikiwa kusonga mbele.

https://p.dw.com/p/4KR4u