1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi Nairobi watumia teknolojia ya VR kuboresha mafunzo

Sylvia Mwehozi19 Juni 2023

Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wanafunzi katika shule moja wanatumia teknolojia ya Virtual Reality VR ili kufanya ziara za kishule. Teknolojia hiyo inayomuwezesha mtu kusafiri bila kutoka mahali alipo kwa kutumia aina maalum ya vyombo vya kielektroniki na kumpa mtumiaji uhalisia wa ulimwengu, imerahisisha mbinu za kujifunza masuala kadhaa kama ya utunzaji mazingira

https://p.dw.com/p/4SlV5