1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume na Kenya na uzinduzi wa satelaiti yake

25 Aprili 2023

Shirika la Anga la Kenya (KSA) limezindua urushaji wa satelaiti ya kwanza Taifa-1 kwenda katika anga ya kimataifa. Satelaiti ho itaipa Kenya uwezo wake wa kwanza kabisa wa kutafiti mambo mbalimbali ya katika sekta ya kilimo, mazingira na mengine. Zaidi msikilize Wakio Mbogho katika makala ya Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/4QWRp