1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Fahamu zaidi kuhusu programu ya 'Shule direct'

ANUARY MKAMA/MMT22 Agosti 2023

Makala ya Sema Uvume safari hii inaangazia programu iitwayo 'Shule direct' ya nchini Tanzania. Licha ya jitihada za serikali kujenga shule kila kukicha bado idadi ya wanafunzi wanaoandikiswa kila mwaka ni kubwa, kutokana na hilo wadau mbalimbali wa elimu wameamua kuja na mbinu za kuwasaidia wanafunzi kuelewa masomo wanayofundishwa.

https://p.dw.com/p/4VRTa