1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seif Sharif: mikutano na Rais Shein pamoja na Rais Magufuli haikuwa ya kisiasa

George Njogopa11 Machi 2016

Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema mikutano yake ya hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, John Magufuli na Rais wa Zanzibar, Ali Mohammed Shein haikuwa na agenda yoyote ya kujadilia hali ya kisiasa inayoendelea visiwani Zanzibar. George Njogopa anaarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/1IBj8