SiasaSaudia yazidi kushinikizwa kuhusu KhashoggiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMohammed Khelef11.10.201811 Oktoba 2018Maseneta nchini Marekani wameiandikia serikali ya Rais Donald Trump kuitaka iishinikize Saudi Arabia kutoa ufafanuzi wa kina juu ya kutoweka kwa mwandishi wa habari mashuhuri, Jamal Khashoggi, akiwa kwenye ubalozi wa Saudia nchini Uturuki.https://p.dw.com/p/36Lv8Matangazo