1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sababu za uandikishaji mdogo wa wapiga kura Kenya ni zipi?

Josephine Karema8 Februari 2022

Ili kufahamu zaidi sababu za kushindwa kwa tume huru inaysimamia mipaka na uchaguzi nchini Kenya- IEBC, kuwasajili wapigakura milioni 4.5 waliokuwa wamekusudiwa, Tatu Karema amezungumza na Martin Oloo, mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya ambaye ameanza kwa kutoa tathmini ya hali hiyo. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/46fUY