1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda yaadhimisha robo karne ya Mauaji ya Kimbari

8 Aprili 2019

Ubelgiji imewakumbuka wanajeshi wake kumi waliouawa Kigali Rwanda kwenye mauaji ya kimbari yaliyotokea miaka 25 iliyopita. Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel aliyongoza shughuli hiyo amesema mauaji ya askari wake yanazifanya Rwanda na Ubelgiji kuwa na historia moja. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.

https://p.dw.com/p/3GSCD