1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda kwenye darubini ya mwaka 2022

Sylivanus Karemera30 Desemba 2022

Kufunguliwa kwa mpaka wa Gatuna-Katuna uliofungwa miaka minne iliyopita kati ya Uganda na Rwanda, ni miongoni mwa matukio makubwa ambayo wakaazi wa Rwanda na Uganda wanasema yalishuhudiwa mwaka 2022. Sylvanus Karemera anaangazia matukio mengine yakiwemo ya kisiasa na usalama yaliyojitokeza nchini Rwanda mwaka 2022.

https://p.dw.com/p/4LZ7T