1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda kuwa mwenyeji wa mkutano wa Jumuiya ya Madola

Sylivanus Karemera17 Juni 2022

Nchini Rwanda kunafanyika mkutano wa makamishna wakuu wa tume za haki za binadamu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola. Mkutano huo wa kilele utafanyika baadaye wiki ijayo ambapo zaidi ya wakuu wa nchi 50 wanachama wanatazamiwa kuhudhuria. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Kigali Sylivanus Karemera.

https://p.dw.com/p/4Cs3E