1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda: Hatuchukui wakimbizi zaidi kutoka Uganda

11 Januari 2023

Baada ya rais wa Rwanda Paul Kagame hapo jana kusema nchi yake haiwezi tena kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia vita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo amesema vyombo vya habari vimemnukuu vibaya Rais Kagame na kwamba Rwanda inachotaka ni Jumuiya ya kimataifa kuweka mikakati ya kupata suluhu ya mzozo huo. Msikilize Amina Abubakar na Ali Mutasa.

https://p.dw.com/p/4M1Pw