1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda haitawachukua wakimbizi kutoka Congo

10 Januari 2023

Rwanda imesema haiwezi tena kuwapokea wakimbizi wanaokimbia vita Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Bertin Munyampirwa kutoka shirika la kutetea haki za binadamu katika eneo la maziwa makuu MHPR akiwa huko Kigali anazungumzia uamuzi huo

https://p.dw.com/p/4LxrK