1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto: Nitaelekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo

Khelef Mohammed22 Julai 2022

Naibu rais wa Kenya na mgombea urais, William Ruto, anasema atalekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo ili kuhakikisha kuwa hakuna raia anayekufa kwa njaa, katika wakati ambapo ripoti za baa la njaa zikijiri kwenye maeneo ya kaskazini na mashariki wiki chache kabla ya uchaguzi wa Agosti 9. Ameyasema hayo kwenye mahojiano na waandishi wa habari wa kimataifa. Sikiliza ripoti ya Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4EWsX