1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti yabaini uminywaji wa vyombo vya habari Tanzania

Florence Majani18 Julai 2022

Baraza la Habari nchini Tanzania limetoa ripoti mpya ya hali ya vyombo vya habari nchini humo kwa mwaka 2020/21 iliyobainisha uminywaji wa vyombo vya habari na jinsi hali hiyo ilivyoathiri uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na matukio kadhaa ya uvunjwaji wa haki za binadamu. Sikiliza ripoti ya Florence Majani kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4EGz1