1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti mpya ya hali ya haki za binaadamu Tanzania

Rashid Chilumba13 Aprili 2023

Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania LHRC kimechapisha ripoti mpya ya hali ya haki za binaadamu kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki kwa mwaka uliopita. Ripoti ya aina hiyo hutolewa kila mwaka kuangazia hali ya haki mbalimbali ikiwemo za kisiasa na kijamii. DW imezungumza na Mkurugenzi wa kituo hicho Anna Henga.

https://p.dw.com/p/4Pzd9