1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

Ripoti Haki jinai Tanzania inahitaji utekelezwaji

17 Julai 2023

Ripoti kuhusu Haki Jinai nchini Tanzania imefuchua kuwepo kwa udhaifu mkubwa katika mfumo mzima wa haki jinai nchini Tanzania kuanzia jeshi la polisi. Wataalamu wa mnasuala ya sheria wanasema serikali haina utashi wa kuleta mabadiliko katika mifumo hiyo. Sikiliza mahojiano ya Bakari Ubena na Bashir Yakub ambaye ni Wakili katika Mahakama kuu ya Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Tza2