1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

RB Leipzig kileleni mwa ligi ya Bundesliga

Josephat Charo Nyiro26 Oktoba 2020

RB Leipzig yaendelea kutamba kileleni mwa ligi ya Bundesliga, Bayern Munich yawafuata katika nafasi ya pili licha ya hattrick ya Robert Lewandowski. Borussia Dortmund waibuka kidedea derby ya eneo la Ruhr.

https://p.dw.com/p/3kTEc