1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Ras Six mwanamuziki na mwanaharakati wa Tanzania

12 Aprili 2018

Karibu katika kipindi karibuni leo utamsikia mwanaharakatu na mwanamuziki mwenye ulemavu wa ngozi Sixmund Mdeka, maarufu kama Ras Six. Vile vile kutoka Kenya utapata habari za msanii maarufu kutoka nchini Ujerumani na ambaye hivi sasa anazuru barani Afrika.

https://p.dw.com/p/2vwlp