1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia

28 Februari 2020

Miongoni mwa mengi tuliyokuandalia katika Afrika wiki hii ni pamoja na kufariki kwa rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak akiwa na umri wa miaka 91.Nchini Tanzania chama tawala CCM kimeanza hekaheka za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kwa kumtimua mwanachama wake aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Memba na homa ya Corona yaingia Nigeria

https://p.dw.com/p/3YbWY