1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na vyama 19 vya siasa

6 Januari 2023

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika wiki hii ni pamoja na mkutano uliofanyika kati ya rais wa Tanzania Samia Suluhu na vyama 19 vya siasa nchini humo. Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo makundi ya waasi ya MaiMai yaliyokuwa yakipambana na jeshi la serikali sasa yabadili mwelekeo na kushirikiana na jeshi hilo dhidi ya M23. Sikiliza makala ya Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4Lpaj