1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Malawi aitaka Afrika kufufua demokrasia ya uhalisia

9 Oktoba 2020

Malawi na Tanzania zajivunia ushirikiano wao,wakati rais Lazarus Chakwera pia akizihimiza nchi za bara la Afrika kujitambulisha upya kwa kufufua demokrasia ya uhalisia wa bara hilo. Na harakati za kampeini nchini Tanzania zaendelea ambapo mgombea wa chama kikuu cha upinzani Chadema aingia mitaani baada ya kampeini zake kufungiwa na tume ya maadili. Kwa hayo na mengine sikiliza Afrika wiki hii.

https://p.dw.com/p/3jgoC