1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Uhuru Kenyatta amuidhinisha rasmi Raila Odinga

24 Februari 2022

Rais Uhuru Kenyatta amemuunga mkono rasmi na hadharani kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kuwa Rais wa Kenya wakati muda wake utakapomalizika baada ya uchaguzi nchini humo unaotarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu. Kenyatta amemthuhumu naibu wake William Ruto kwa kutokuwa mkweli, kumuaga fedha za wizi na kueneza ujumbe wa kampeni wa uongo. Amina Abubakar anazungumza na Herman Manyora.

https://p.dw.com/p/47WIm