1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hotuba ya rais Tschisekedi yaushinikiza Umoja wa Mataifa

Saumu Yusuf22 Septemba 2023

Hotuba za viongozi mbali mbali kutoka barani Afrika katika hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa,zimechukuwa nafasi ya mbele katika Afrika wiki hii.Rais Felix Tschisekedi wa Kongo aushinikiza ujumbe wa Monusco kuondoka nchini mwake mwaka huu. Rais wa Kenya William Ruto alishambulia baraza la usalama la Umoja huo akisema halina demokrasia na Rais wa Afrika Kusini,Cyrial Ramaphosa akihimiza ushirikiano.

https://p.dw.com/p/4Whn8