1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia Suluhu ateua wakuu wa mikoa wapya, awatema tisa

George Njogopa28 Julai 2022

Nchini Tanzania kuna mjadala mkubwa unaoendelea baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku akiwafuta kazi wakuu wa mikoa tisa, katika mabadiliko yaliyotangazwa leo alfajiri. Baadhi ya wachambuzi wanaamini mabadiliko haya yanalenga maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Sikiliza ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4Elf5