1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia Hassan awaonya 'wachochezi' wa mitandaoni

Babu Abdallah22 Aprili 2021

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge mjini Dodoma ikiwa ni mara ya kwanza tangu alipoapishwa mnano Machi 19, 202. Kwa mengi zaidi kuhusiana na hotuba hiyo iliyosubiriwa kwa hamu kubwa Babu Abdalla amezungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu Deo kaji Makomba kutoka mjini Dodoma. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3sRFz