1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Samia azindua mkakati wa uhamasishaji wa sensa Tanzania

Deo Kaji14 Septemba 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa nchi hiyo itafanya zoezi la sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022, licha ya kuwepo na hoja ya kwanini Tanzania ifanye zoezi hilo kwa pesa za ndani. Ametaka zoezi hilo lifanyike kwa ufanisi na gharama nafuu hasa kutokana na nchi hiyo kuendelea kukabiliwa na janga la Covid-19. Sikiliza ripoti yake Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/40Jz8