1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Ruto: Naahidi kuyabadili maisha ya Wakenya

Thelma Mwadzaya13 Septemba 2022

Kenya inafungua ukurasa mpya na kumkaribisha rais wa tano William Ruto aliyeapishwa hii leo. Viongozi na marais 20 wa Afrika walihudhuria hafla hiyo na kumpongeza Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua waliokula kiapo leo. Viongozi hao wa taifa wameahidi kuyabadili maisha ya Wakenya licha ya hali ngumu ya kiuchumi. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4GnLP