1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Nyusi wa Msumbiji azungumzia ziara yake ya Uganda

Omar Mutasa29 Aprili 2022

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amemaliza ziara yake ya siku tatu nchini Uganda, kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili, ambapo mwenyeji wake, Rais Yoweri Museveni, amemuhakikishia utayari wa Uganda kutuma wanajeshi wake katika mikoa ya Capo Delgado na Montepuez kaskazini mwa Msumbiji. Mwandishi wetu Omar Mutasa amezungumza na Rais Nyusi

https://p.dw.com/p/4Absj