1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Rais Museveni atangaza harakati za kukabiliana na ugaidi

Lubega Emmanuel8 Septemba 2023

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameagiza wasimamizi wa nyumba za ibaada na za kulala wageni kuwabaini watu wote wanaokwenda kwenye maeneo hayo kwa vitambulisho, katika juhudi za kukabiliana na ugaidi, baada ya kutibuliwa kwa njama ya mashambulizi ya mabomu mapema wiki hii, iliyodaiwa kupangwa na kundi la waasi wa ADF.

https://p.dw.com/p/4W6xk