1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndayishimiye kukabiliwa na ugumu kutimiza ahadi zake Burundi

Sudi Mnette18 Juni 2020

Rais Mpya wa Burundi Evariste Ndayishimiye ametangaza kwamba utawala wake utaheshimu haki za binaadamu, lakini pia ameyaonya mataifa ya nje kutoielekeza Burundi cha kufanya. Sikiliza mtazamo wa mchambuzi wa siasa za Burundi Khalid Hassan juu ya maneno hayo ya Rais Ndayishimiye.

https://p.dw.com/p/3e0Pq