1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Magufuli ala kiapo kuwa rais kwa muhula wa pili Tanzania

5 Novemba 2020

Dr. John Pombe Magufuli, almeapishwa mapema leo mjini Dodoma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Magufuli, ataliongoza taifa hilo kwa miaka mitano ijayo.

https://p.dw.com/p/3kvEI