1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Macky Sall atangaza kutogombea uchaguzi 2024

7 Julai 2023

Yaliyomo wiki hii: Rais wa Senegal Macky Sall atangaza kutogombea muhula wa tatu katika uchaguzi ujao. Rais Cyril Ramaphosa aitembelea Jamhuri ya Kidemokrasia kuendeleza juhudi za kutafuta amani mashariki mwa nchi hiyo. Na ulimwengu waadhimisha siku ya Kiswahili. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii

https://p.dw.com/p/4Tb7D