1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila Odinga apiga kura Kibera

9 Agosti 2022

Mgombea wa nafasi ya urais kupitia muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ambaye pia anaungwa mkono na Rais Uhuru Kenyata amepiga kura Jumanne jijini Nairobi katika Shule ya Msingi ya Old Kibera.

https://p.dw.com/p/4FJJn

Odinga alifanikiwa kutekeleza zoezi hilo la kikatiba majira ya saa nne na nusu akiambatana na mkewe, Ida Odinga. Hawa Bihoga amezungunza na mwandishi wa habari Mike Nyagwona, ili kufahamu hali ya ulinzi ulivyoimarishwa katika kituo hicho.