1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila apinga ushindi wa William Ruto

Daniel Gakuba16 Agosti 2022

Kufuatia tangazo la Raila Odinga, aliyegombea urais kwa tiketi ya Azimio la Umoja la kupinga ushindi wa Ruto, Daniel Gakuba amezungumza na Bobby Mkangi, mtaalamu wa masuala ya katiba na pia mchambuzi wa siasa. Je, tangazo hilo litakuwa na athari gani kwa mchakato mzima wa uchaguzi?

https://p.dw.com/p/4Fc90