1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Zimbabwe ainadi nchi yake Arusha

8 Juni 2022

Aldriano Mapfumo ni kijana kutoka mji kuu wa Zimbabwe, Harare, anayeiwakilisha nchi yake katika maonyesho ya utalii yanayojumuisha nchi za Afrika Mashariki na nyinginezo barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4CQRE