1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Ukraine wazidi kukimbia nchi

7 Machi 2022

Umoja wa Mataifa unasema watu zaidi ya milioni 1.5 wamekimbia Ukraine. Umeielezea hali hiyo kama mgogoro wa wakimbizi unaokua kwa kasi zaidi barani Ulaya tangu vita vya pili vya dunia. Zaidi ya watu milioni moja wamevuka hadi Poland pekee. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4886H