1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa kigeni Afrika Kusini waishi kwa hofu ya kuvamiwa

Bryson Bichwa30 Agosti 2022

Raia wa kigeni waishio nchini Afrika Kusini wamesema usalama wao uko mashakani baada ya kundi la vuguvugu la Dudula kuendelea kuvamia hospitali kadhaa kutaka huduma za matibabu zisitolewe kwa wageni. Vuguvugu la Dudula linataka raia wa kigeni wanaoishi nchini humo kinyume na sheria kuondoka. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Pretoria, Bryson Bichwa.

https://p.dw.com/p/4GEYr