1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa DRC wakimbilia Uganda baada ya kuibuka vita Rutshuru

Lubega Emmanuel25 Mei 2022

Mamia ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemiminika kwenye mji wa mpakani wa Bunagana upande wa Uganda. Raia hao, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wanaelezea kuwa mapigano kati ya majeshi ya serikali yao na wapigananji wa M23 yameendelea kwa siku ya tano mfululizo na mashaka yao ni jinsi watakavyokidhi mahitaji yao msingi. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega.

https://p.dw.com/p/4BqVi